Featured
Showing posts with label entertainment. Show all posts
Showing posts with label entertainment. Show all posts

Thursday, January 12, 2017

Wateule' wamrudisha Solo Thang
Rapa mkongwe Bongo Jay Moe amesema ujio wa Solo Thang bongo ni mzuri kwani amekuja kufanya kazi zake mwenyewe kama Solo Thang lakini pia wao kama Wateule hawatakubali kuona Solo Thang ameondoka Bongo bila kufanya kazi ya pamoja.

Akiongea kwenye kipindi cha eNEWZ Jay Moe amesema wanataka wao wenyewe waweze kujisimamisha kwenye ushindani wa muziki wa sasa na kuona kila mmoja kati yao anakuja na project yake na kusimama kivyake kisha watafanya project za kundi kama Wateule.

"Usishangae kesho, kesho kutwa Solo Thang amekuja na project na msanii mwingine wa kizazi hiki cha sasa, lakini ukiacha hapo hatuwezi kumruhusu Solo Thang aondoke bila ya kuwa na wimbo wowote ule wa Wateule, ikiwezekana moja mbili au tatu kabisaa kwa sababu saizi ni rahisi studio tunazo nyingi, beats tunazo kibao tunataka sisi wenyewe tuweze kujisimamisha kwenye competition inayoendelea kwenye soko la muziki sasa hivi" alisema Jay Moe 

Monday, January 2, 2017

Hiki Ndicho Kinachokwamisha 'collabo' ya Jide na Diamond


Msanii mkongwe katika anga la bongo fleva, mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee amesema yuko tayari kufanya kazi na staa wa muziki huo Diamond Platnumz, endapo atahitaji lakini kinachoweza kukwamisha ni ratiba yake ya kazi.

Jay Dee amelazimika kutoa kauli hiyo kutokana na kuongezeka kwa minong'ono kuwa wawili hao wanakwepana, na hawataki kufanya kazi kwa pamoja, ambapo amekuwa akikabiliwa na mambo mengi kwenye ratiba yake.
Akiwa katika Kitengo ya Planet Bongo ya EATV, Jay amesema hana tatizo na msanii yoyote nchini na yuko wazi wakati wowote, lakini akasita kutaja ni wakati gani atafanya kazi na Diamond.
"Kwa sasa nina ratiba za mambo mengine, lakini akinihitaji niko tayari na tutafanya kazi wakati muafaka nikiwa na na nafasi" Alisema Jay Dee.
Mwezi Novemba mwaka jana, Diamond alipozungumza na EATV kuhusu suala hilo alisema yuko tayari kufanya kazi na mwanadada huyo, lakini tatizo ni kubanwa na ratiba ambayo imekuwa haimpi nafasi.
Kwa kauli hizo, sasa ni dhahiri kuwa wawili hao hawana shida kufanya kazi pamoja lakini huenda wanaogopana, huku kila mmoja akisubiri mwenzake amuanze, maana hadi sasa hakuna ambaye ameomba kufanya kazi na mwezake huku wote wawili wakidai kukwamishwa na ratiba ya kazi zao. 

Hiki Ndio Kisa Kilicho Waliza walizwa Young Dee, Country Boy
Tunaweza kusema kuwa staa wa video za bongo fleva, mwanadada Amber Lulu anataka kuwagonganisha kimapenzi wasanii wawili wa rap Bongo, Young Dee na Country Boy kutokana na kuanzisha rasmi mahusiano na Country Boy
Hatua hiyo ni baada ya Amber kutoa ya moyoni jinsi anavyomuhusudu Country Boy, huku akikiri kuwa mahusiano ya Young Dee licha ya kupiga chenga kuwa mahusiano yake na Country Boy ni ya kikazi pekee, na hayatahusu mapenzi.
Amber alifunguka hayo alipokuwa akipiga story na Jay R Junior katika kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha East Africa Radio na kueleza kinachomvutia zaidi kwa Country Boy ikilinganishwa na wasanii wengine wa kiume katika game ya Bongo Fleva.

Akiwa ameingia rasmi kwenye game ya bongo fleva kama msanii wa kuimba, amesema mastaa wengi wa kiume ambao amekuwa akifanya nao kazi, wamekuwa wakishindwa kujizuia na kutamani mapenzi zaidi ya kazi.

Thursday, December 29, 2016

washindi wa WatsUPTV African Awards 2016, watanzania wanne tu ndio wameshindaUlikuwa usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.

Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.

Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016,  kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.

List ya washindi wote 22 waliyotangazwa
Best Newcomer Video of the Year
Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)
Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana
Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria
Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali
Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania
Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi
Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea
Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania
Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania
Best African Male Video
Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania
Best African Female Video
Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal
Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire
Best International Video
Beyonce – Formation (USA)
Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania
Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo
Best North Africa
Ibtissam Tiskat
Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready)
West Africa Video
DJ Arafat
Best African Video Director
Godfather Kidogo (Nigeria)
Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania
Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria

Tuesday, December 20, 2016

List Kamili Wanaowania tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice2016, East Africa ina movie 9March 5 2016 Tanzania iliingia kwenye headlines baada ya waigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike a.k.a Rich kufanikiwa kuchukua Tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice zilizotolewa Lagos Nigeria.

Kutoka ndani ya ukumbi wa Intercontinental Hotel jijini Lagos, nimetumiwa list nzima ya Movie, Series na mastaa waliotajwa kuwania tuzo hizo ambapo Tanzania Afrika Mashariki imefanikiwa kuingiza Movie 9 kwenye vipengele viwili. 

Best Soundtrack/Original Score
Oloibiri – Rex Ricketts
93 Days – George Kallis, Tunde Jegede and Banky W
No Good Turn – Brymo
The Encounter – Michael ‘The Truth’ Ogunlade
76 – Hyacinth Ogbu, Daps Agwom, Ukachi Nnachi

Best Cinematographer
Mrs Right Guy – Adze Ugah
93 Days – Yinka Edward
Happiness is a Four Letter Word – Lance Gewer
Oloibiri – Curtis Graham
76 – Yinka Edward

Best Actress in a Drama
Bimbo Akintola – 93 Days
Ivie Okujaye – Slow Country
Rita Dominic – 76
Adesua Etomi – The Arbitration
Zimkhita Nyoka – Vaya
Meg Ottamwa – Derailed
Hannah Ojo – Love is A Prank

Best Supporting Actress
Ivie Okujaye – Something Wicked
Somkele Idhalama – 93 Days
Adunni Ade – It’s Her Day
Ebele Okaro – Four One Love
Kehinde Bankole – 8 Bars and a Clef
Khanyi Mbau – Happiness is a Four Letter Word
Namundi Mbusi – Vaya


Best Supporting Actor Movie/TV series
Gideon Okeke – 93 Days
Warren Vasemole – Vaya
Kofi Adjorlolo – Ghana Must Go
Mpho Sebeng – The Jakes Are Missing
Rotimi Salami – Just Not Married
Nkem Owoh – Ghana Must Go

Best Art Director
76 – Pat Nebo
93 Days – Bola Bello
Oloibiri – Chima Adighije
Happiness is a Four Letter Word – Gary Smith
Ghana Must Go – Godwin Ashong


Best Actor in a Drama
RMD – Oloibiri
Ramsey Nouah – 76
Sambasa Nzeribe – Slow Country
Gregory Ojefua – The Encounter
Olu Jacobs – Oloibiri
Femi Jacobs – Femi Jacobs

Best Actress in a Comedy
Tina Mba – Meet the In-Laws
Uche Jombo – Wives on Strike
Dineo Moeketsi – Mrs Right Guy
Chioma Akpotha – Wives on Strike
Funke Akindele – Jenifa’s Diary
Funke Akindele – A Trip to Jamaica
Omoni Oboli – Wives on Strike

Best Actor in a Comedy
Imeh Umoh Bishop – The Boss is Mine
Ayo Makun – A Trip to Jamaica
Bovi Ugboma – It’s Her Day
Blossom Chukwujekwu – Ghana Must Go
Mike Ezuruonye – Brother Jekwu
Okey Uzoeshi – The Life of a Nigerian Couple
Amechi Munagor – Meet the In-Laws

Best Writer
76 – Emmanuel Okomaiyi
The CEO – Tunde Babalola
A Trip to Jamaica – AY Makun
Oloibiri – Samantha Iwowo
Ghana Must Go – Tunde Babalolo
Vaya – Akin Omotoso


Best Movie West Africa
93 Days
76
Oloibiri
A Trip to Jamaica
The CEO


Best Movie (South Africa)
Mrs Right Guy
Happiness is a Four Letter Word
Vaya
The Jakes Are Missing
All About Love

Best Movie East Africa
Aisha
Kati Kati
Epidemic
Homecoming

Best Overall Movie
Mrs Right Guy
Happiness is a Four Letter Word
Aisha
93 Days
76
Naomba Niseme

Best Short Film or Online Video
Ireti
Loot
Meet the Parents
Cat Face
Light Diaries: Spin Around

Best Documentary
Roots Gambia
Makoko: Futures Afloat
Alison
Amaka’s Kin: The Women of Nollywood
Petra’s Nebatean Heritage
Best Television Series
Jenifa’s Diary
Sokhulu and Partners
Duplicity
Beneath the Lies
Beyond Your Sight: The Police Story


Best Indigenous Language Movie or TV Series (Swahili)
Siri Ya Mtungi (Season 2)
Mganga Bomba
Fihi
Zilizala

Best Indigenous Language Movie or TV Series (Igbo)
Amonye-bu-onye
Obi-Eze
Obi Nwanyi
Mmakwara series
Ikpe Omuma

Best Indigenous Language Movie or TV Series (Hausa)
Salim
Mafarin Tafiya
Yaki Da Zuciya
Maula

Best Indigenous Language Movie or TV Series (Yoruba)
Somewhere In The Dark
Ode Iku
Ajoke Aiye
Tobajewo
Iman

Best Costume Designer
Pat Egwurube- 76
Dele Akinyele/Chelsea Oliver- Oloibiri
Chiemela Nwagboso/ Asantewa Clara Adjoa- Ghana Must Go
Shileola Ibironke and Mojisola Sapara- Casino
Obijie- King Invincible

Best Lighting Designer
Elliot Sewape- 93 Days
Amisu Alade/ Edwin Lau- Oloibiri
Yinka Edwards- 76
Lance Gewer Sasc- Happiness Is a Four Letter Word
Fabian Hooks- A Trip To Jamaica

Best Picture Editor (Movie/TV Series)
Nnodim Chigozie and Paula Peterson- Oloibiri
Vuyani Sondlo- Vaya
Emeka Ojukwu- 76
Antonio Ribeiro- 93 Days
Nicholas Costaras/ Melanie Jankes Golden- Happiness Is A Four Letter Word

Best Sound Editor (Movie/TV Series)
Mike Barnitt- Oloibiri
Pius Fatoke and Mzukisi Mtshiselo- 93 Days
Richard Mohlari/ Dave Hawkins- Vaya
Solomon Emmanuel- 76
Jean Niemandt- Mrs Right Guy

Best Make Up Artist (Movie/ TV Series)
Chinwe Elovah- 76
Hakeem Onilogbo Ajibola/ Perekeme Odon- Oloibiri
Ronwyn Jarrett- Umililo
Thema Ozzy Smith/ Lola Maja-Okojevoh/ Adetunmi Imoteda- 93 Days
Dianne Allen- Happiness Is A Four Letter Word

Best Director

Adze Ugah- Mrs Right Guy
Steve Gukas- 93 Days
Curtis Graham- Oloibiri
Izu Ojukwu- 76
Robert O Peters- A Trip to Jamaica
Frank Rajah-Ghana Must Go

Monday, November 14, 2016

Wasimamizi wa kazi za Prince wamezikataa Dola milioni 40 za Jay Z


Rapper Jay Z alituma barua ya maombi  kwa uongozi wa legend wa muziki Marekani  marehemu Prince, na kuomba umiliki wa nyimbo zake ambazo mpaka kifo chake alikuwa hajazitoa. Inasemekana Jay Z alitenga dola za kimarekani milioni 40 kwa ajili ya kukamilisha deal hilo.
Baada ya kuzungumza na uongozi wa Prince umekataa kusaini deal hilo na rapper huyo, ukidai kuwa Jay Z alishawahi kuziachia albamu 15 za Prince kwenye mtandao wake wa Tidal miezi michache tu baada ya Prince kufariki bila kibali chochote, na wanaamini Jay Z aliingiza pesa ndefu hivyo kuna uwezekano wa kumfungulia rapper huyo kesi ya madai.

Hata hivyo inasemekana uongozi unaosimamia kazi za Prince unafahamu Jay Z alikubaliana na Prince kuwa atasimamia albamu yake ya “HitNRun Phase One” ya mwaka 2015 lakini hakuna nyaraka za mikataba zinazoonyesha malipo ya dolla 750,000 ambazo ndio zilipaswa kulipwa ili kufunga mkataba.

Tuesday, November 8, 2016

Angalia List ya washindi wa tuzo za MTV EMA 2016
Tuzo za MTV Europe Awards 2016 ‘MTV EMA’ zimefanyika usiku wa kuamkia leo November 7 2016, nimekuwekea hapa list ya washindi wa tuzo hizo.
BEST SONG
Adele – “Hello”
Justin Bieber – “Sorry” — WINNER
Lukas Graham – “7 Years”
Mike Posner – “I Took A Pill In Ibiza (Seeb Remix)”
Rihanna ft. Drake – “Work”
BEST VIDEO
Beyoncé – “Formation”
Coldplay – “Up&Up”
Kanye West – “Famous”
Tame Impala – “The Less I Know the Better”
The Weeknd ft. Daft Punk – “Starboy” — WINNER
BEST FEMALE
Adele
Beyoncé
Lady Gaga — WINNER
Rihanna
Sia
BEST MALE
Calvin Harris
Drake
Justin Bieber
Shawn Mendes — WINNER
The Weeknd
BEST LIVE
Adele
Beyoncé
Coldplay
Green Day
Twenty One Pilots — WINNER
BEST NEW
Bebe Rexha
DNCE
Lukas Graham
The Chainsmokers
Zara Larsson — WINNER
BEST POP
Ariana Grande
Fifth Harmony  — WINNER
Justin Bieber
Rihanna
Selena Gomez
Shawn Mendes
BEST ROCK
Coldplay — WINNER
Green Day
Metallica
Muse
Red Hot Chili Peppers
BEST ALTERNATIVE
Kings of Leon
Radiohead
Tame Impala
The 1975
Twenty One Pilots — WINNER
BEST HIP HOP
Drake — WINNER
Future
G-Eazy
Kanye West
Wiz Khalifa
BEST ELECTRONIC
Afrojack
Calvin Harris
David Guetta
Major Lazer
Martin Garrix — WINNER
BEST PUSH
Alessia Cara
Anne-Marie
Bebe Rexha
Blossoms
Charlie Puth
DNCE — WINNER
Dua Lipa
Elle King
Halsey
Jack Garratt
Jonas Blue
Lukas Graham
BIGGEST FANS
Ariana Grande
Beyoncé
Justin Bieber — WINNER
Lady Gaga
Shawn Mendes
BEST WORLD STAGE
Duran Duran – Piazza Del Duomo, Milan (2015)
Ellie Goulding – Piazza Del Duomo, Milan (2015)
Jess Glynne – Isle of MTV, Malta (2016)
Martin Garrix – Isle of MTV, Malta (2015) — WINNER
One Republic – MTV Evolution, Philippines (2016)
Tinie Tempah  – MTV Crashes, Plymouth (2015)
Tomorrowland – Belgium (2016)
Wiz Khalifa – Isle of MTV, Malta (2016)
Global Icon Award
Green Day

WORLDWIDE ACT WINNERS
Troye Sivan – Australia
Shawn Mendes – Canada
Maluma – Columbia
GOT7 – Korea
Wizkid  – Nigeria
Zara Larsson – Sweden
Ariana Grande – U.S.

Sikia Kauli Tata za Diamond Platnumz baada ya ushindi wa Tuzo za Afrima2016Tuzo za All African Music (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.
Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.

Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.

Sunday, October 30, 2016

Wakurugenzi wa Kampuni ya Tiptop Connections wa Buruzwa Mahakamani


Baada ya Msajili Korti Kuu ajitoa kesi ya Babu Tale
Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Projest Kahyoza amejitoa kusikiliza shauri linalowakabili wakurugenzi wa kampuni ya Tiptop Connections ya jijini Dar es Salaam, Hamis Shaaban maarufu Babu Tale na ndugu yake, Idd Shaaban.
Kahyoza alifikia uamuzi huo juzi, siku aliyopanga kutoa maelekezo maalumu kwa wadaiwa hao. Hata hivyo, mlalamikaji Sheikh Hashim Mbonde alimuomba ajitoe kwa madai kuwa hana imani naye.

Thursday, October 6, 2016

Wiz Khalifa Announces BASH Clothing Line Inspired by His SonWiz Khalifa wears cool pants and so does his son, Sebastian.
The Taylor Gang rapper has announced BASH, a new fashion line through Junk Food Clothing inspired by his adorable 3-year-old.
“All the designs are based around Sebastian — all of his hobbies and the things that he’s into,” Khalifa told PEOPLE. “I just really wanted it to feel personal to him, so when he sees it, he gets excited. He’s 3 years old, so he might not understand the concept of having his own clothing line. But the fact that all of his favorite things are all over his clothes, it makes him feel special; it makes him entertained by what he’s wearing.”

It’s a natural progression for Khalifa and Bash because both are celebrated for their style choices. “I shop with him a lot, and we match often,” the proud dad explains. “He’s definitely got my sense of style. Everybody tells me how fresh he usually looks, from store-bought stuff, so we’re making his own stuff now.”
Children will be able to rock the line — which includes shirts, sweatshirts, and accessories — and so will their dads. The clothes range from about $35 to $50 in kids and $45 to $80 in men’s. BASH bomber jackets for kids are being sold for $150, while the adult bombers will retail for $250.
Khalifa and ex-wife Amber Rose welcomed Sebastian in 2013.


BASH launches Oct. 15 and will be available at Junk Food’s Venice, Calif. flagship as well as 

Monday, September 26, 2016

How Eye Contact Alters Our BehaviorThere's ample evidence that the gaze of others is highly compelling: We're more attuned to faces whose eyes are trained upon us than faces whose eyes are looking elsewhere. Even newborns pay more attention to faces whose eyes are gazing directly at them than to faces whose eyes are looking off in the distance.
You probably already know this if you've ever been trying to read in a coffee shop or on a subway but suddenly "feel" the stare of a stranger distracting you from your text. (You look up, look back at them, and they usually look away. Unless they're trying to hit on you, in which case they ask what you're reading, whether you come here often, what you're drinking, or where you're headed next, and you spend the next 45 minutes trying to end the conversation so you can finish that chapter.)
Thus the impact of eyes looking at us upon our concentration can work for or against our ability to stay focused. In many cases, us-directed gazes boost our ability to process information related to faces (i.e., concluding that a person is male or female) and enhance our memories of whoever was looking at us. Eye contact can also improve learning in general: A classic study by James P. Otteson and colleagues in 1980 found that young students whose teachers made eye contact with them during lectures had improved recall of verbal material after the class.

When, however, we're trying to focus on something other than a person's face or the information they're trying to deliver by talking to us with an intent stare, eye contact can distract us from non-facial information processing tasks (like that book you were trying to read...).

Other people's eyes also affect our self-awareness: Several studies have demonstrated that feeling looked at inclines people to become more attuned to their own body's physiological responses (heart rate, sweating, and breathing) as well as how they might be perceived by others (e.g., "Does s/he notice I have a toothpaste stain on my t-shirt?"). Mere images of eyes (think: paintings or pictures rather than an actual, IRL person) have even been found to make us act in a prosocial or reputable manner — and such images trump reminders that peers are present and/or will be judging us.
Additionally, we like people (and animated characters) more when these others appear to be engaging us with eye contact. Provided the eye contact is offered in a non-threatening situation, of course. Being gazed at by a potential mate has also been found to increase our attraction to them, so long as that potential mate also looks relatively happy (and/or we really weren't trying to tune out the world and focus on that next great American novel.)

In a recent review of the many powerful effects eye contact has on our behavior, cognition, and arousal levels, researchers Laurence Conty, Nathalie George, and Jari K. Hietanen explain that "direct gaze has the power to enhance the experience that the information present in the situation is strongly related to one's own person." They believe that the self-referential information processing brought about by feeling looked at "acts as an associative 'glue' for perception, memory, and decision-making." This can serve to enhance memory and make us behave more altruistically, they explain, by heightening "the salience of concerns about being a target for others' social evaluation and, consequently, concerns about one's self-reputation." (We do the right thing because we assume we're going to be judged, we're being watched, or, possibly, we just like the person whose gaze looks warm and we'd like to be nice to them out of sheer gratitude for having been favorably noticed.)

The researchers believe that eye contact can and should be used "for therapeutic purposes." They note "that the use of eye contact during therapeutic processes increase the patient’s appraisal of the therapist’s interpersonal skills and effectiveness." Given eye contact's ability to enhance memory for specific context-specific material, they have a hunch eye contact may be particularly helpful for people with Alzheimer's Disease: Alzheimer's Disease (AD), they write, "is characterized not only by memory impairments, but also by psycho-behavioral anomalies that necessarily appear at some point of the disease and impoverish the patient’s relations with others. Interestingly, the processing of eye direction as well as eye contact behavior seems to be preserved in patients with AD. This predicts that the W.E. [Watching Eyes] effects may also be preserved and may therefore be stimulated to improve the quality of social exchange of these patients."

Precautions should be observed, however, in subjecting people with certain diagnoses to excessive eye contact. The gaze of others can trigger intense feelings of shame and other negative self-evaluations in socially anxious individuals, for instance. And people who meet the criteria for borderline personality disorder are more apt to perceive negative emotions in others' facial expressions, potentially inclining them to interpret a kind or innocuous gaze as a threatening (or judgmental) stare.

Additional work suggests that when being confronted or challenged by someone, eye contact can serve to enhance perceived aggression. In fact, a study investigating the role of eye contact in persuasion found that direct gazes impaired actors' ability to change others' opinions, contrary to the assumption that eye contact always works in favor of increasing warm feelings between two people.
Research has shown that most people are comfortable with approximately 3.2 seconds of eye contact from a stranger — more if that stranger seems trustworthy; even more if that stranger later becomes a friend.


All in all, eye contact can have a memory-boosting, prosocial, and stimulating effect. As long, of course, as its wanted by the person being looked at. So if you're trying to use eye contact to your advantage, pay attention to the cues coming from the person you're staring at: If they're returning your gaze, lighting up, becoming more talkative, and straightening their posture or relaxing as you look into their eyes, you're doing great. But if they're shying away, acting nervous, looking annoyed, or they keep trying to turn their attention back towards the book you just distracted them from reading, it's probably a good idea to look (and possibly, go) away. 

Thursday, September 22, 2016

The Boss Lady Zari Azua Utata Baada ya Kukuta Hereni Chumbani kwa Diamond Platnumz

Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kuwa mwanamuziki diamond Platnum amekuwa  akichepuka pindi mpenzi wake Zari Hassan (Zari the Boss Lady)akiwa hayupo.japo  yeye mwenyewe amesikika mara kwa mara akikanusha tetesi hizo,hilli huenada likaweka wazi tetesi hizo.


Jana kupitia mtandao wa snapchat,Zari aliweka picha za herein anazodai zilikuwa ndani ya chumba cha Diamond na kumkejeli mwanamke anayedai ndiye alitekeleza vitu hivyo.
Aidha ,hakuishia hapo akaendelea kurusha mawe gizani kumlenga huyo anayedai kuwa alitumia chumba cha diamond licha ya mabneno haya yote aliyoyaandika The boos Lady,hakuweka wazi
kuwa ni nani hasa aliyekuwa anamsema kuwa ameacha vitu vyake vya bei rahisi ndani ya chumba cha Diamond

Saturday, September 17, 2016

Shilole Aeleza Kilichomsukuma Kupatana na Nuh Mziwanda.Fahamu zaidi hapa.Baada ya hivi karibuni Sholole na Nuh Mziwanda kupatana, Shilole amefunguka na kuzungumzia nini kimemsukuma mpaka akapatana na mkali huyo wa wimbo ‘Jike Shupa’.

Wawili hao ambao walikuwa wapenzi waliachana kwa kutupiana maneno huku Nuh Mziwanda akionekana kumlaumu Shilole kwa kumpotezea muda.


Akiongea na Uhead ya Clouds FM Ijumaa hii, Shilole amedai ameamua kumaliza tofauti zake na Nuh Mziwanda kwa kuwa muimbaji huyo wa ‘Jike Shupa’ alikuwa anapoteza kujiamini pale anapokutana naye.


“Nikwambia kitu situation moja ambayo ipo, Nuh akiniona mimi huwa anapoteza kujiamini,” alisema Shilole. “Sasa ili kumueka sawa na aweze kuwa vizuri lazima na mimi nimwonesha am good. Kwa hiyo alivyoniona nipo good na yeye akawa fresh na furaha imerudi na nazani maisha yanaendelea,”

Hata hivyo mkali huyo wa wimbo ‘Say My Name’ alikanusha kurudiana na Nuh Mziwanda huku akidai kwa sasa wao ni washkaji.

Saturday, August 27, 2016

Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video).


Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria.

Jumanne hii hitmaker huyo wa ‘Kidogo’ alipost video akiwa na starboy, Wizkid. Haijulikani wamekutana Dar au Afrika Kusini. Lakini video hiyo ilitafsiriwa vibaya baada ya Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu, kutokea kusikojulikana na kumbusu Diamond shavuni.

Haijulikani Nelly alikuwa mwenyeji wa nani, katika ya Diamond au Wizkid. Busu hilo limetafsiriwa vibaya na baadhi ya mashabiki wanaodai kuwa Diamond amemkosea hes//www.youtube.com/embed/8VQlYgafg20" width="420">

Kuna Kitu Ninacho Moyoni Mwangu Lakini.. – Wema Sepetu.Fahamu zaidi hapa.Tangu malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu aachane na mpenzi wake Idris Sutlan kuna mengi yamekuwa yakizungumzwa katika mitandao ya kijamii.
Muigizaji huyo hakuwahi kuzungumza sababu ya kuachana na mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa Hotshots 2014 hali ambayo imekuwa ikiibua maswali mengi kwa mashabiki wake.

Alhamisi hii Wema amewataka mashabiki wake katika mitandao ya kijamii kukaa mkao wa kula kwa ajili ya kuyasikia mengi ambayo yanaukabili moyo wake.

“Kuna muda mtu unaweza ukakaa na ukasema na moyo wako, Ila moyo mara nyingi huwa unazidi nguvu nyingine zozote. Kuna kitu kiukweli ninacho kwa moyo wangu,” aliandika mwigizaji huyo kupitia ukurasa wa instagram.

Aliongeza, “Lakini siwezi kusema leo wala kesho, but ipo siku isiyo na jina wala tarehe nitakisema tu, maana mnanijua kukalfisha nafsi huwa sipendi, but all in all tuseme Inshallah,”

Wiki iliyopita aliyekuwa mpenzi wake, Idris Sultan aliamua kufuta akaunti yake ya instagram yenye followers zaidi ya milioni 1 baada ya kushindwa kuvumilia yale yanayoendelea katika mitandao ya kijamii. 

Mwanamuziki Kiss Daniel Kupamba Uzinduzi wa Tamasha la 'Monte Carlo Classic' jijini Dar Kesho.Fahamu zaidi hapa.Msanii maarufu kutoka Nigeria Anidugbe Oluwatobiloba Daniel almaarufu kama Kiss Daniel (katikati) akifurahia jambo na Meneja Masoko wa benki ya Barclays Joe Bendera (kulia) sambamba na Mkurugenzi wa Stra8up Vibes Sniper Mantana (kushoto) mara baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari wa kumtambulisha msanii huyo atakayepamba uzinduzi wa Tamasha jipya nchini la “Monte Carlo Classic” litakalofanyika kesho kwenye ukumbi wa Akemi uliopo Golden Jubilee Towers, Posta jijini Dar es salaam.


Mwanamuziki maarufu wa Nigeria Anidugbe Oluwatobiloba Daniel anayefahamika kwa jina la kisanii Kiss Daniel aliyetamba hasa kwa kibao chake cha ‘Woju’ kwenye anga za muziki,  ametua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa Tamasha la Monte Carlo Classic lililoandaliwa na Str8up Vibes wakishirikiana na DeJurist Global kwa udhamini wa Benki ya Barclays Tanzania.

Mwimbaji huyo wa Nigeria aliyejizolea mashabiki wengi tangu alipoachia kibao chake cha ‘Woju’, ataongoza uzinduzi wa Tamasha hilo Jumamosi hii jijini Dar es Salaam katika Mgahawa wa Akemi uliopo kwenye jengo la Jubilee Towers, Mtaa wa Ohio.

Akizungumza mapema leo kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Str8up Vibes, Sniper Mantana alithibitisha mbele ya waandishi kwamba maandalizi ya Tamasha hilo yamekamilika na kuwasihi Watanzania kujitokeza kwa wingi ili kujumuika na msanii huyo maarufu.
Aliongeza kwamba kabla ya Tamasha hilo tiketi zitauzwa kwa shilingi 25,000 na itakapo timu usiku tiketi zitauzwa kwa shilingi 35,000.

Alisema Tamasha la "Monte Carlo Classic" limelenga kubadilishana uzoefu baina ya Watanzania hususani kwenye sekta ya burudani.

“Kwenye miji kama vile;-Monte Carlo, New York, Los Angeles (L.A), Paris watu maarufu hushiriki kwa kupamba matukio kama haya. Hii ni sawa na ambavyo sisi tumelenga kuliimarisha tamasha la Monte-Carlo Classic jijini Dar es Salaam, ambapo kwa usiku mmoja kila mtu anakuwa mtu wa hadhi ya juu, huku akisherehekea na mtu maarufu aliyeteuliwa na kwenye eneo lenye hadhi ambalo limeandaliwa na waandaaji,” alisema.

Kwa mujibu wa Meneja Masoko wa Benki ya Bacrays Tanzania, Joe Bendera, alisema benki hiyo imekuwa ikidhamini ligi kubwa ya soka ulimwenguni jambo ambalo limeifanya kuisogeza karibu na jamii. Tunayo furaha kuwa sehemu ya uzinduzi wa Tamasha kama hili kubwa jambo ambalo litatuwezesha kukutana na wageni waalikwa mbalimbali na wateja wetu.

"Tukio hili linatupa fursa ya kutoa elimu kuhusu matumizi ya kadi zetu na kuhamasisha matumizi yake sehemu mbalimbali kwenye mashine za mauzo maeneo mbalimbali nchini. Mwezi uliopita Benki ya Barclays ilitunukiwa cheti cha ubora cha Mtoaji wa Kadi Bora za Visa nchini Tanzania.

Pia katika kubeba fedha taslimu kuna kiwango maalumu hivyo tutapata fursa ya kuwahamasisha wateja wetu kutumia kadi zetu za Debit na Cretid kwenye tukio hili," alisema

Kwa upande wake msanii huyo alisema alishtuka alipopata mwaliko kutoka kwa Str8up Vibes na kumchague yeye kuwa mgeni rasmi kwenye tukio hilo, na kwa mara ya kwanza kuja hapa nchini kama msanii.

 “Nimefuarahi sana kualikwa kwenye tukio la Monte Carlo Classic hapa jijini Dar es Salaam, ninashukuru kwa nafasi hii na ninapenda kuwashukuru waandaji kwa kutambua umuhimu wangu.”
Msanii huyo aliongeza kwamba, amekuja nchini kufurahia na kujumuika na watu hadhi tofauti, wasanii wa muziki pamoja na mashabiki zake na kuwaomba wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kufika kwa wingi siku ya Jumamosi kwenye tukio hili.

Msanii huyo alizaliwa Mei Mosi, 1994 katika mji wa State, Kiss Daniel ni mwimbaji maarufu anayetamba na kibao chake cha Woju alichokiachia mwaka 2015 a kutamba kwenye vituo mbalimbali vya runinga na redio akimshirikisha Davido na Tiwa Savage.
Kwa hivi sasa amejiunga na lebo ya G-Worldwide Entertainment iliyomwezesha kurekodi nyimbo zake tatu; Woju, Mama na aliouachia hivi karibuni wa Jombo.
Mwisho

Monday, August 22, 2016

Hiki ndicho chanzo cha bifu la Vera na Huddah
Mrembo kutokea pande za Mombasa nchini kenya, Vera Sidika ametoa sababu ya kuwa na bifu na mlimbwende mwenzake wa nchini humo, Huddah Monroe, bifu ambalo limeteka vyombo vya habari kwa muda mrefuAkifunguka kwenye Maojiano FNL ya East Africa Tv na Radio, Vera Sidika amesema wakati yeye akiwa Mombasa, Huddah Monroe tayari alishakuwa maarufu jijini Nairobi, lakini alipoenda ingawa walianza kwa kuwa marafiki, lakini baadaye Huddah alionyesha kutopenda uwepo wa Vera jijini Nairobi, kwani alihisi anamchukulia nafasi yake kwenye kazi.

"Bifu ambayo yeye anayo ilikuwa yeye amekuwa Nairobi na tayari alishakuwa star, na mimi nikatoka Mombasa nikaja Nairobi, ikawa kama nimeingilia career yake, ikawa anaaza bifu leo, anaanza kesho sasa inachosha, sasa mi nasemaga mambo kama hayo sitaki lakini anayaleta tu", alisema Vera Sidika.
Vera aliendelea kusema kuwa kitendo hicho yeye hakipendi, hasa pale inapofikia hatua ya kuchafuana kwenye mitandao kwa kutoleana habari za uongo, akitolea mfano wa hivi karibuni wa Hudda kumtangaza kuwa yeye ni muathirika wa Ukimwi.

Msanii wa Bongo Freva Ruby: Afunguka na Kusema Sikwenda Fiesta sababu maslahi ni ‘kiduchu’, atangaza vita na waliomtoa

Muimbaji wa ‘Na Yule’ Ruby amesema hakwenda Mwanza kutumbuiza kwenye Fiesta licha ya ‘kusajiliwa’ kwenye msimu mpya wa tamasha hilo maarufu, kwasababu waandaji hulipa fedha ‘kiduchu.’

Kauli yake inakuwa mkuki kwenye moyo kwa Clouds FM ambao ndio waliomfikisha hapo alipo kwa kukivumbua kipaji chake.
Akiongea na tovuti ya Tizneez, Ruby alidai kuwa kutolewa kimuziki na Clouds Media, hakumaanishi kuwa ataendelea kuwatumikia kama wanavyotaka kwakuwa naye ana maisha yake kwa sasa.
“Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na kuongea?” alihoji muimbaji huyo ambaye kwa miaka mingi sauti yake imekuwa ikisikika kwenye matangazo kibao ya kituo hicho maarufu cha redio nchini. Amedai kuwa show ya Fiesta ni kubwa kuliko maslahi wanayolipa na kwamba yangemwacha katika wakati mgumu kuandaa show yake.

Anadai kuwa hahofii vita yoyote na kituo hicho chenye nguvu kilichowahi kuingia kwenye mgogoro na wasanii kibao ambapo wapo walio kubali yaishe kwa kupiga magoti na kuomba msamaha, isipokuwa Lady Jaydee ambaye bado ana vita nao iliyodumu kwa miaka mingi.
Ruby anasema mwisho wa siku ni maisha yake ndiyo ya muhimu zaidi. Ruby alipatikana kupitia shindano la Supa Diva liliondaliwa na Clouds kupitia tamasha la Fiesta na kusainishwa chini ya kampuni ya THT iliyoanzishwa na Ruge Mutahaba.
“To be honest naumia sana sababu they don’t care,” anasema. “So if someone hakujali, what can you do? Tatizo ndio kama hilo unakuwa na management ambayo haijali maslahi yako kwenye maisha yako. Tunajikuta tunakuwa na management ambazo zinajali umabavu, zinaendesha wasanii kimabavu kuliko kiakili ya kutimiza malengo ya wasanii wao ambapo sisi wasanii wa kike tunaonewa sana. Unadhani kwanini Lady Jaydee wanamuita komando?” amehoji Ruby.
“Because ni mtoto wa kike, ni mwanamke ambaye amesimama kweli kweli na kujitetea, lakini wachache sana wanafanya hivyo.”
Kukiwekea kidonda chumvi, Ruby ambaye kwenye Instagram amepost video akiimba wimbo wa Lady Jaydee, amedai kuwa ana mpango wa kufanya naye kazi. “Nitafanya naye sababu ni muimbaji mzuri, ana sauti nzuri.” 

Friday, August 12, 2016

Mwanamuziki Bow Wow kustaafu akiwa na miaka 29

Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za 'hip hop' Bow Wow, ambaye jina lake halisi ni Shad Moss, ametangaza kuwa atastaafu kutoka kwenye fani ya muziki, akiwa na umri wa miaka 29, mwaka huu 2016.
Ametoa tangazo hilo kwenye mtandao wa Twitter.
Bow Wow alitoa albamu yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 13, mwaka 2000.
Baadhi ya nyimbo zake maarufu ni "Like You" akimshirikisha Ciara na "Let me hold you" akimshirikisha Omarion.

Tuesday, August 9, 2016

MASTAA KADHAA KUNOGESHA DAWATI CONCERT, DAR LIVE JIJINI DAR

Wasani ni AY,Mwana FA,Ben Pol,Barnaba,,Linex,Msami, Mc Pilipili,Galatone,Glorious Worship Team Concert hiyo itakayo fanyakaukumbi wa DAR LIVE 13,Aug,2016 kuanzia saa 12!@jioni 
Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com