Tuesday, November 8, 2016

Sikia Kauli Tata za Diamond Platnumz baada ya ushindi wa Tuzo za Afrima2016



Tuzo za All African Music (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.
Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.

Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com