Sunday, October 30, 2016

Wakurugenzi wa Kampuni ya Tiptop Connections wa Buruzwa Mahakamani


Baada ya Msajili Korti Kuu ajitoa kesi ya Babu Tale
Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Projest Kahyoza amejitoa kusikiliza shauri linalowakabili wakurugenzi wa kampuni ya Tiptop Connections ya jijini Dar es Salaam, Hamis Shaaban maarufu Babu Tale na ndugu yake, Idd Shaaban.
Kahyoza alifikia uamuzi huo juzi, siku aliyopanga kutoa maelekezo maalumu kwa wadaiwa hao. Hata hivyo, mlalamikaji Sheikh Hashim Mbonde alimuomba ajitoe kwa madai kuwa hana imani naye.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com