Sunday, October 30, 2016

Bodi ya mikopo Imesisitiza kufanya uhakiki wa wanafunzi.......




Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) imesema itaanza uhakiki wa taarifa za wanafunzi wanufaika wanaoendelea na masomo ili kujiridhisha kama wanasifa sitahiki na ambao watakuta hawana sifa watasitishiwa mkopo.
Mkurugenzi wa mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru amesema zoezi hilo litaanza Jumanne na wanafunzi wote watatakiwa kujaza dodoso ambalo litatolewa ambalo litawekwa kwenye mtandao wa bodi hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com