Saturday, August 27, 2016

Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video).


Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria.

Jumanne hii hitmaker huyo wa ‘Kidogo’ alipost video akiwa na starboy, Wizkid. Haijulikani wamekutana Dar au Afrika Kusini. Lakini video hiyo ilitafsiriwa vibaya baada ya Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu, kutokea kusikojulikana na kumbusu Diamond shavuni.

Haijulikani Nelly alikuwa mwenyeji wa nani, katika ya Diamond au Wizkid. Busu hilo limetafsiriwa vibaya na baadhi ya mashabiki wanaodai kuwa Diamond amemkosea hes//www.youtube.com/embed/8VQlYgafg20" width="420">

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com