Thursday, September 22, 2016

The Boss Lady Zari Azua Utata Baada ya Kukuta Hereni Chumbani kwa Diamond Platnumz





Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kuwa mwanamuziki diamond Platnum amekuwa  akichepuka pindi mpenzi wake Zari Hassan (Zari the Boss Lady)akiwa hayupo.japo  yeye mwenyewe amesikika mara kwa mara akikanusha tetesi hizo,hilli huenada likaweka wazi tetesi hizo.


Jana kupitia mtandao wa snapchat,Zari aliweka picha za herein anazodai zilikuwa ndani ya chumba cha Diamond na kumkejeli mwanamke anayedai ndiye alitekeleza vitu hivyo.
Aidha ,hakuishia hapo akaendelea kurusha mawe gizani kumlenga huyo anayedai kuwa alitumia chumba cha diamond licha ya mabneno haya yote aliyoyaandika The boos Lady,hakuweka wazi
kuwa ni nani hasa aliyekuwa anamsema kuwa ameacha vitu vyake vya bei rahisi ndani ya chumba cha Diamond

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com