Monday, January 2, 2017

Hiki Ndio Kisa Kilicho Waliza walizwa Young Dee, Country Boy




Tunaweza kusema kuwa staa wa video za bongo fleva, mwanadada Amber Lulu anataka kuwagonganisha kimapenzi wasanii wawili wa rap Bongo, Young Dee na Country Boy kutokana na kuanzisha rasmi mahusiano na Country Boy
Hatua hiyo ni baada ya Amber kutoa ya moyoni jinsi anavyomuhusudu Country Boy, huku akikiri kuwa mahusiano ya Young Dee licha ya kupiga chenga kuwa mahusiano yake na Country Boy ni ya kikazi pekee, na hayatahusu mapenzi.
Amber alifunguka hayo alipokuwa akipiga story na Jay R Junior katika kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha East Africa Radio na kueleza kinachomvutia zaidi kwa Country Boy ikilinganishwa na wasanii wengine wa kiume katika game ya Bongo Fleva.

Akiwa ameingia rasmi kwenye game ya bongo fleva kama msanii wa kuimba, amesema mastaa wengi wa kiume ambao amekuwa akifanya nao kazi, wamekuwa wakishindwa kujizuia na kutamani mapenzi zaidi ya kazi.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com