Monday, August 22, 2016

USAIN BOLT NA SAKATA LA MAPENZI NA MTOTO WA SHULE




 Picha za bingwa wa mbio za mita 100,200 na relay kwenye mashindano matatu ya Olimpiki Usain Bolt zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.
Bolt anaonekana kwenye pozi za mapenzi na msichana anaedaiwa kuitwa Jady Duarte wa umri wa miaka 20 ambae ni mwanafunzo wa chuo kimoja cha Brazil
Inasemakana Bolt alikua tayari kashatangaza kumuoa mchumba wake Kasi Benestt baada ya olimpiki na huenda ndoa hiyo ikaingia doa.
Hata hivyo taarifa hizi huenda zisimtatize sana Bolt kwani yeye amewahi kukubali kwamba hawezi kuwa na uhusiano na mwanamke mmoja.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com