Sunday, August 7, 2016

Madawati ya Mbunge Wa Chadema ya Kataliwa Kisa.....





BUNDA, MARA: Madiwani wa CCM katika jimbo la Bunda wamekataa kupokea madawati yaliyotolewa na Mbunge Ester Bulaya wa CHADEMA.
- Inadaiwa wameyakataa sababu yalikuwa yameandikwa majina ya Mbunge huyo.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com