Thursday, August 20, 2015

TANZANIA GOVERMENT CLOSE 70 AGENT COMPANY

Kampuni 70 za mawakala zafungwa Tanzania

Serikali ya Tanzania imezifunga kampuni 70 za mawakala katika jaribio la kukabiliana na ulanguzi wa binaadamu.
Raia wengi wanaotafuta kazi ,wakiwemo wanawake wengi,wamesafirishwa hadi katika eneo la mashariki ya kati baada ya kuahidiwa kazi nzuri,lakini wanaishia kufanya kazi katika mazingira ya utumwa.
Kulingana na shirika la habari la Reuters mawakala hao ni takriban robo ya mawakala wote nchini Tanzania

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com