KENYA PRESIDENT UHURU KENYATTA HAS BEEN REJECTED IN ISRAEL
Chama cha ukombozi wa Palestina (PLO) kimepinga ziara ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Jerusalem ya mashariki na sehemu ya makazi ya Israel katika ukingo wa magharibi wa Mto Jordan.
Kamati ya utendaji ya PLO imesema makubaliano ya kimataifa yanataja ardhi ya Palestina iliyotawaliwa na Israel mwaka 1967 ni ardhi ya nchi ya Palestina na siyo vinginevyo

0 comments:
Post a Comment