Tuesday, December 29, 2015

WIZI MPYA BANDARINI: MAKONTENA 11,884 NA MAGARI 2,019 YAPITA BILA KULIPA USHURU, POLISI WAANZA MSAKO



Makontena 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kulisababishia Taifa hasara ya bilioni 47.4 Pamoja na magari 2,019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu Majaliwa.


Waziri wa Uchukuzi, Ujenzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa. Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiBAADA ya  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kufanya ziara  katika Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) na kubaini uondoshwaji wa wa kontena 329   bila kulipiwa kodi


Kufuatia hali hiyo, Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na Jeshi la Polisi na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na Jeshi la Polisi.

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2015 Dar One
| Distributed By Hotrootnews.blogspot.com